Unajuwa kuwa P-Funk Majani ana mtoto mkubwa kabisa wa kike tofauti na aliyezaa na Kajala?

Daaah mtoto wa kajala kawa mkubwa kabla ya umri wake , nikiwa na maana kabemendwa kimawazo kila siku skendo za mama duuuu!!!!
Huyu si kuna video yake inasambaa inaoneshwa kuna njemba inamkaza
 
tapatalk_1485080246136.jpeg
Dah.. Shikamoo P-Funk
 
Huyo wa kajala mbona sio point 5!! Atakuwa kapigwa changa hapo majani,mbaya zaidi mtoto kafanana na Kajala
Point 25 siyo point 5. Kweli inatia shaka mjukuu wa mzungu haoneshi hata kdg kuwa babu yake ni mzungu. Ila mambo ya genetics hayatabiriki angeweza kuwa na mzazi mmoja mzungu na akatoka mweusi
 

How time flys, My baby girl has become a woman, ameandika P-Funk Majani aka Dream Big kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?

Mtoto wa kike wa P-Funk Majani
P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.
Paulette akiwa na mama yake Kajala
Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!
Mimi nilikuwa sijiui huenda hata baba mtoto mwenyewe alikuwa hajui hz ni zama za ngono huria liberal sex mahusiano ndoa kudumu muda mfupi kama chaja ya smart phone. Mtu anaweza kuweka mimba asijue au akijua akawa hana uhakika yeye ni baba au mwingine. So anything is possible
 
Back
Top Bottom