Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,615
- 2,031
Kimeo ni kiungo kipo sehemu ya mwisho kabisa ya kinywa na karibu kabisa na sehemu ya juu ya koo. Na kazi ya kimeo ni kutoa mate mepesi hasa wakati wa kumeza kitu na pia kazi nyingine ya kimeo ni kuziba kwenye njia ya hewa wakati ukiwa unameza kitu either chakula au kitu kingine chochote ili hicho chakula kisiingie kwenye njia ya hewa.
Kuna raia mtaani wanatuongopea kwamba kuna ugonjwa wa kimeo na huwa wanakata... Wazee tusiongopeane hakuna huo ugonjwa sasa wewe jichanganye kata kimeo uje utufie na uanze kutupa tabu sisi jambo kama hulijuwi ni bora uulize wanaolijuwa.
Alamsiki jami'a