selestin john Member Joined Jan 20, 2012 Posts 67 Reaction score 8 Jan 20, 2012 #1 kama wewe ni binadamu uliyekamilika basi huna budi kukubali majaliwa lakini basi kuna baadhi ya watu ndani ya ardhi ya hii nchi tz eti wanadiriki kujutia kwa nini wapo hapa leo je walitaka wawe sudan au darfull?
kama wewe ni binadamu uliyekamilika basi huna budi kukubali majaliwa lakini basi kuna baadhi ya watu ndani ya ardhi ya hii nchi tz eti wanadiriki kujutia kwa nini wapo hapa leo je walitaka wawe sudan au darfull?
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Jan 21, 2012 #2 Kina nani hao?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,731 Jan 21, 2012 #3 nitarudi.
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Jan 21, 2012 #4 Mende je ataomba nini?
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,068 Reaction score 5,558 Jan 21, 2012 #5 Sijutii kuzaliwa TANZANIA ila najutia kuongozwa na viongozi vilaza.