unajua vidole vya mkorogo?

hahahaha duh aya bana,naona umeamua kutudhilishia carorite unayotumia
 
Du hadi vidole vinafanyiwa mkorogo? Eh basi hatari bado Kei tu?
 
Naona hata hiyo Carolight imekataa
 
Watu sijui kwanini wanadhani weupe ni kila kitu katika uzuri! Hadi wanaume siku hizi nao wanatumia carolite nasikia..
 
Hahahahaha right on sista, right on
 
Vidole vya bi Chau mke wa mzee King Majuto. He he heeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…