Unajua ukweli huu? let’s talk IPV (Intimate partner violence)

OwadeKuya

Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
95
Reaction score
78
Kenya, wanawake 4 kati ya 10 wamepitia violence kutoka kwa mtu wako in relationship nao inaweza kuwa bwana, boyfriend, ama partner.

Hii si story ya mbali.
Ni story iko kwa estate, kwa plot, kwa mtaa. Kwa wasee wadogo, especially wanawake wa 15–24 years, mambo ni worse karibu 1 kati ya 3 wamepitia kupigwa ama kudhulumiwa sexually ndani ya mwaka moja.

Lakini wengi hawasemi kitu.
Na si juu ni sawa!!!!!. Ni juu ya kuogopa, aibu, ama kutegemea huyo mtu financially.
Tuambiane ukweli:
  • Mbona IPV bado inachukuliwa kama “mambo ya nyumba”?
  • Mbona survivor huambiwa “vumilia”?
  • Tunalinda nani kwa kukaa kimya?
Behind hizi statistic kuna watu real na kuna maumivu real.
Silence inalinda violence but kuongea kunaeza okoa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…