Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250429_095753_0000.png

Najua watu wengi walikua wanajiuliza sana Pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi ? Ni maswali ambayo mimi na wewe tulia tunajiuliza sana? Je Tanzania Ina kiwanda cha kutengeneza pesa zake ??

images (7).jpeg

Maswali yote Leo utaweza kupata majibu yake kwa ufupi TU kupitia makala hii 😋, kwanza inapaswa kujua Pesa huwa azitengenezwi nchi moja TU hutengenezwa kupitia nchi mbalimbali hapa Duniani.

2_20250429_095753_0001.png

Pesa zinatengenezwa kwenye nchi zilizoendelea kama vile Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uswizi, Saudi Arabia, Sweden na Uingereza.

Ila kwa upande wa Afrika nchi zinazotengeneza pesa ni zifuatazo:

  • Misri
  • Morocco
  • Nigeria
  • Ghana
  • South Africa
  • Sudan
  • Algeria

Kwa upande wa Ethiopia na Zimbabwe kuna kipindi walikuwa wanatengeneza pesa zao lakini baadae walizuiliwa kutokana na sheria maalum za kimataifa zinazo husika na taratibu za kumiliki kiwanda cha kutengeneza pesa.

3_20250429_095753_0002.png

Nchini Kenya kuna kiwanda cha kutengeneza pesa kinachoitwa De La Rue kutoka nchini Uingereza na kwa hivyo kiwanda hicho kipo Kenya kama tawi kwa upande wa Afrika mashariki.

5_20250429_095753_0004.png

Je pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi sasa ??

Pesa ya Tanzania kamwe haitengenezwi nchini Tanzania.

Mwanzoni baada ya uhuru pesa ya Tanzania ilikua inatengenezwa Nchini Uingereza kuanzia sarafu na Noti ambapo serikali ya Tanzania ilikua inaipa Tenda nchi ya Uingereza.

6_20250429_095753_0005.png

Kwa sasa pesa za Tanzania haitengenezwi Tena Uingereza isipokuwa Ujerumani ndio inatengeneza pesa Za TANZANIA aina ya Noti ambazo ni;
⚡ ELFU KUMI
⚡ ELFU TANO

Wakati nchi ya Sweden inatengeneza Pesa za nchi ya Tanzania ambapo kuanzia NOTI na SARAFU;
⚡ ELFU MBILI

⚡ELFU MOJA
⚡SARAFU

Ulikua unajua hii au lah tuachie maoni yako??
 
View attachment 3319531

Najua watu wengi walikua wanajiuliza sana Pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi ? Ni maswali ambayo mimi na wewe tulia tunajiuliza sana? Je Tanzania Ina kiwanda cha kutengeneza pesa zake ??

View attachment 3319532

Maswali yote Leo utaweza kupata majibu yake kwa ufupi TU kupitia makala hii 😋, kwanza inapaswa kujua Pesa huwa azitengenezwi nchi moja TU hutengenezwa kupitia nchi mbalimbali hapa Duniani.

View attachment 3319533

Pesa zinatengenezwa kwenye nchi zilizoendelea kama vile Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uswizi, Saudi Arabia, Sweden na Uingereza. Ila kwa upande wa Afrika nchi zinazotengeneza pesa ziko Saba pekee
• misri
• Morocco
• Nigeria
• Ghana
• South Africa
• Ethiopia na Zimbabwe ilikuwepo lakini baadae ilizuiliwa kutokana na sheria maalum za kimataifa zinazo husika na taratibu za kumiliki kiwanda cha kutengeneza pesa.

View attachment 3319534

Nchini Kenya kuna kiwanda cha kutengeneza pesa lakini sio Cha Kenya ni Cha nchi toka Uingereza kwaiyo Kenya kipo kama Tawi kwa upande wa Afrika mashariki.

View attachment 3319535

Je pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi sasa ?? Pesa ya Tanzania kamwe haitengenezwi nchini Tanzania mwanzoni baada ya uhuru ilikua inatengenezwa Nchini Uingereza kuanzia sarafu na Noti ambapo serikali ya Tanzania ilikua inaipa Tenda nchi ya Uingereza.

View attachment 3319536

Mkoloni anayetukopesha ndio huyo huyo anatutengenezea na pesa.

Unaweza kuta anakukopesha alizotengeneza kiwandani kwako😀😀
 
tuko milion 60 sasa c wafyatue nyingi kwakuanza maisha kila mtanzania apate angalau milion 100
 
Hayo ni makalatasi yaliyopewa nguvu na wakoloni pesa za kweli ni dhahabu na fedha huo ndio mpango wa mungu haya mengine na utapeli tu embu tuangalia hapa mfano dollar ndani yake kuna kitu gani cha dhamani si karatassi tu km makaratasi mengine ni bora ingekuwa zinaongezewa samani hata na madini basi
 
Sheria ipi? Na inawabana vipi? Na hizo wanazolipwa zinatoka wapi? Ikiwa wao ndo wanatengeneza?

Fafanua zaidi.
sasa mkuu nchi ya tz imetoa tenda ya kuprint lets say billion moja, kwa gharama ya 200 grand, sasa nchi husika si italipa hyo 200 grand au? Hzo printing campanies zipo kisheria mkuu.
 
Na hao wenye viwanda vya kutengeneza pesa, wanalipwa nn? Je hawawezi kutengeneza pesa zaidi ya tenda ilivyo? Itakuajee?
Ata mm huwa najiulizaga hivi kama rais analipwa je anaemlipa analipwa na Nani?

Kwa upande WA pesa lazima utengeneze kiwango Fulani maana Kila Mtu akiwa na Pesa,Pesa itakuwa haina maana tenah...

Pesa ya ziada wao Naamini wanajitengenezea Ndio maana kiuchumi sio rahisi kuwaporomosha ...
 
Ata mm huwa najiulizaga hivi kama rais analipwa je anaemlipa analipwa na Nani?

Kwa upande WA pesa lazima utengeneze kiwango Fulani maana Kila Mtu akiwa na Pesa,Pesa itakuwa haina maana tenah
Je km kiwanda kimeambiwa watengeneze Tri 3, afu wao wakatengeneza tri 5, 2 wakaficha sehemu, watoa tenda watajuaje? Lol
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom