Unajua ndoa ni mali ya mungu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajua ndoa ni mali ya mungu???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Watu wengi wamekuwa wakikimbilia ndoa kwa malengo yasiyo sa hihi..wapo wanaokimbilia ndoa sababu wanazeeka wapo wanaokimbilia ndoa sababu ya kumpata mtu mwenye pesa wapo wanaokimbilia ndoa sababu wamempata mtoto wa waziri fulani au ukoo fulani...ndugu zangu na wote wenye sababu zisizofaa napenda kuwajulisha ile ndoa mnayoikiri ni MALI ya MUNGU
  Lolote utakalofanya juu ya ndoa ile unajibu kwa MUNGU na si kwa mpenzio wala mchungaji wa kanisa alilokufungisha..Biblia inasema si vyema mtu awe peke yake means tangu zamani inajulikana wewe kama wewe huwezi kwenda popote unaitaji msaaada zaidi ili uweze kukamilika
  (EZEKIEL 4)
  Hatay watoto wanaozaliwa si mali yenu kama mnavyofikiria watoto ni mali ya MUNGU..wengi wanajidanganya kulipa mahari ndio basi ashakuwa wako..no kulipa mahari si ku,ilikishwa wanandugu...Leo hii napenda kuwajulisha hata vile viuono vinavyotoa watoto vimefishwa na MUNGU
  Kuna maswali utaulizwa kuhusu mwenzi wako iku ya mwisho ...najua wapo wanaoamua kurudi usiku kwenye ndoa wakijua wanawakomoa watu lakini nakujulisha matesoo yote unayompa mwenzio lazima utajibu siku ya mwisho

  KUHUSU IBADA KAMILIFU
  Wakati Adam akiwa peke yake ibada ilikuwa aijaanza.ndio maana wakati MUNGU alipotamka paka wakawapaka.,mende wakawa mende,mamba wakawa mamba,,alipomtoa eva mawasiliano rasmi na MUNGU yakaanza kuanzia hapo..ninyi mnaoolewa misuguano kwenye ndoa zenu mnaondoa ibada na MUNGU wenu
  Mawasiliano ya pale nyumbani kwenu yanaenda moja kwa moja mbinguni,chumvi ikizidiunamweleza mwenzangu mbona leo imeongezeka na si ktupiana lawama na wengine kuanza kutwangwa mangumi/matusi ukiishi kwa mawasiliano bora hapo ibada ya mungu inaanza rasmi(EZEKIEL 18:4)
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  Ndoa nyingi mtu anataka kuwasiliana na mtu wa nje na kuachana na mawasiliano ya upendo ndani mwake,haiwezekani ,huwezi kuanza ibada na mtu wa nje wakati mtu wa ndani mmechuniana wiki mwezi...hatuitaji kudanganyana wapo hata watu wa mungu wengi wanaimba makanisani na kucheka wakati huohuo majumbani mwao hawana amani kabisa kwanza mama akienda na mzee inakuwa harusi ya pili..BABA anatangulia mama anafwata na watoto...
  1 YOH 1:27 WALIPOKUWA WOTE WAWILI NDIPO BARAKA ZA BWANA ZIKAINGIA KAMA UKIONA UJATAWALA NA KUMILIKI KTK MALI NA MENGINEYO BASI RUDI KWENYE NDOA YAKO ANAGALIA WAPI PAMEHARIBIKA NINI CHA KUREKEBISHA FASTA
  MGEUKIE MWENZIO TATUENI TATIZO NDI MAANA AKASEMA

  enendeni mkazaane na kuongezeka kama ndoa itakaa kwenye misingi imara kila kitu kinakuwa ni baraka biblia inasema\
  ----utabarikiwa kwenye mashamba yako
  ----utabarikiwa kwenye mazao yako
  ----utabarikiwa kwenye uzao wako
  ---utabarikiwa kwenye wanyama wako
  --unabarikiwa kwenye pesa zako/biashara zako
  yaani hapo kila kitu we vinazaliana tu mpaka unashangaa na la maana zaidi uzo wote utakaoupata unakuwa uzao wa baraka..ndio maana unaona kuna nyumba za magorofa nyingi masaki.kimara mikocheni.mbezi beach baba anakaa gorofa ya juu mama ya katikati na waotot wanakaa groud floor...lakini utakuta mtu yuko na maisha ya kawaida pale tandale ,ubungo na familia yake wanaishi maisha ya faraja kupita kiasi...

  Muhubir 7:9 usifanye haraka kukasirika moyoni mwako
  1 kor 11 maana aimpasi mwanamke kufunika kichwa yeye ni mfano wa utukufu wa MUNGUlakini mwanamke ni utukufu kwa mwanaume,mwanaume ni utukufu wa MUNGU akitaka kusema lolote lazima ampitie mwanaume kichwa cha nyumba//lakini kichwa kikijaa maji ...basi hatari tuupu/..ukiangalia biblia wakati wa kupata uzao kwa ibrahimu MUNGU ALISEMA na IBRAHIM akusema na sara
   
 3. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona mnatuchanganya au mm sielewei. Hapo yote yanaonyesha hawa ambao wamejitahidi hata kupata mtu wa kulazimisha ili wafunge naye ndoa wakashindwa ni kama wamelaaaniwa?Na hawawezi kupta hizo baraka au kuna vifungu vyao nao?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,656
  Trophy Points: 280
  MAMBO MUHIMU YA KUACHANA NAYO KATIKA NDOA

  Mith 5:20 mwanangu mbona unashangilia umalaya na ukumbatia kifua cha wageni??
  wapo watu wengi wanajidanganya kukiwa na matatizo majumbani mwao soln ni kutoka nje ya ndoa weeeee acha huo ujimga..unachoenda kfanya ni kwenda kuchota zaidi matatizo na kuyaongeea yale yaliokuwepo...acha tabia chafu mpendane kama mlivyokiri kanisani...msiwadahe watu MUNGU adhihakiwi

  MITH 6:26
  MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE. MWENYEWE..ATAPATA JERAHA NA KUNYIMWA HESHIMA YAKE WALA HAITAFUTIKA...LEO HII ASILIMIA 50% YA NDOA ZA KIKRISTO NDIZO ZINAWAKA MOTO MAJUMBANI MWAO...NA MATATIZO MENGI UNAKUTA MMOJA WAO KUTOKA NJE YA NDOA ....TUNAITAJI KUJIREKEBISHA KATIKA NDOA ILI TUTUNZE MADHABAHU YETU...KAMA UMETOKA NJE YA NDOA DK TANO ZIJAZO NAKUANDIKIA SALA YA UKOMBOZI SALI TOKA MOYONI MUNGU ANAKWENDA KUKUFUNGUA USIKATE TAMAA LIPO JINA MOJA LIWEZALO KUOITA MAJINA YOTE JINA HILO NI YESU KRISTO
  AMEKUJA KUOKOA WENYE DHAMBI
   
Loading...