Unajua kwanini Zanzbar marufuku mchezo wa ngumi?

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
762
772
Mambo yalianzia hapa, siku moja Hayati Abeid Amani Karume amabaye alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar alialikwa kama mgeni rasmi kwenye mchezo wa ngumi.

Baada ya kufika pale ndo ngumi zinataka kuanza Mh akahoji kwani hawa watu wamegombania nini mpaka wanapigana?

Akajibiwa hawajagombana ni mchezo tu kama ilivyo mchezo mingine. Baada ya mchezo kuisha akaona mmoja ameumizwa vibaya vibaya basi ndipo akasema MCHEZO HUU ZANZIBAR NI MARUFUKU KUCHEZWA mpaka leo hiyo marufuku inaendelea ndo mana hakuna bondia kutoka Zanzibar wala kuwepo kwa mchezo huu.
 
Back
Top Bottom