Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Duu.... we ni very genius !sababu watakaa uchi
Haaaaaaaaaaaaa........ na Brazilian hair je?Na ni kwa wasichana tu? Na wavulana na milegezo yao inayozidi kuteremshwa kila siku?
Let's be fair!
50 kwa 50Na ni kwa wasichana tu? Na wavulana na milegezo yao inayozidi kuteremshwa kila siku?
Let's be fair!
Hiyo 50 kwa 50 ingeoneshwa kwenye picha /katuni. Kwenye katuni/ picha kuna msichana lakini hakuna mvulana. Let's be fair!50 kwa 50
Sasa si ujibu mapigo kwa wewe kuleta picha ya hao wavaa milegezo.Hiyo 50 kwa 50 ingeoneshwa kwenye picha /katuni. Kwenye katuni/ picha kuna msichana lakini hakuna mvulana. Let's be fair!
kwa wavulana ni tofauti kidogo, wakiwa mwaka wa kwanza suruali zinakua chini ya makalio, mwaka wa pili zinakuwa katikaki ya makalio na mwaka wa mwisho zinakua kiunoni.Na ni kwa wasichana tu? Na wavulana na milegezo yao inayozidi kuteremshwa kila siku?
Let's be fair!