Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

Unajua kwanini nacheka hii ni maajabu 🤣🤣

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
2,211
Reaction score
3,517

hi inapendeza kwa CCM kwasababu ndio watajua sasa kuwa wananchi wamewachoka

kazi kukamata watu wasio na hatia kisa wanawazidi hoja sasa unamkamata tundulisu kafanya nin mnamkamata heche kafanyanin sikuzote hoja inajibiwa na hoja ila wao CCM badala ya kubishana na hoja eti wanabishana na mtoa hoja .

Hii🤔 wamewezaje ?
Ujasiri wameutoa wapi?
TUNAELEKEA PAZURI HATA IKICHUKUA MIAKA MINGI.
 
Safi sana. Mdoho mdogo Samia mpk atang'atuka tu. Ngoja bunge livunjwe.
 
Back
Top Bottom