naamini yapo, japo kwa kiwango kidogoHakuna maisha hayo ......!!!
Ukimpenda sio lazima nae anakupeda?
Ukiwa muaminifu huenda nae sio muaminifu?
Ukimjali huenda yeye hakujali?
Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni kwa faida yako mwenyewe!

....Na usiende kutangaza kwa watu ati " mimi na xxxx tunapendana sana" ama " xxx ananipenda sana", Moyo wa mtu hausemewi hata kidogo.
Hata neno la Mungu linatuhitaji kutoa na tunapotoa Mungu nae anarudisha kwa kutumiminia baraka zake....Inapendeza sana nipe nikupe...Yaani utoe tuuuuu No kupokea?It's not healthy!Nipe nikupe ndio mpango