Mjombaaaa...Tazama kuleeee...Ile ni shuleee.....
Enzi za 'Mwalimu' hii tuliita KUSHIKA MASIKIO, ukitoka hapo unashika adabu mtindo mmoja.![]()
Hii adhabu bomba sana tumepiga sana adhabu hizi enzi hizo sio siku hizi mwanafunzi akipigwa konzi tu kosa mpaka mazazi anakuja shule kulalamika.
na ikiwa kanuni/sheria, na adhabu ni halaliJapo haipo kwenye mtaala, kama inasaidia tuipitishe.