Unajua kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

We bhana una vijimambo hiyo zaburi 117:10-14,17-14 haipo,Zaburi ya 117 ina mistari miwili 1-2 tu.Isitoshe hata vitabu vingine ulivyoweka hata tafsiri zake haziko kwenye mada yako,we ungejenga points zako pasipo kutumia maandiko matakatifu"Ole wake aongezae au kupunguza maneno ya Biblia takatifu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
si unaona angalau nimekukunbusha umesoma kidogo kitabu, cha msingi chukua ya muhimu yale mkuu tu
 
ukuryani jogoo akiwika jioni yaani kuanzia saa kumi na moja hadi saa nane usiku ni ishara ya mkosi
anachinjwa faster
 
Marehemu mama angu alitoa usia kabla ya kuhama tulipo kua tunaishi miaka hiyo ya 96 alimueleza bro angu kwamba pachinjwe jogoo mweupe na mwekundu nilikua mdogo sijui ilikua na maana gani hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…