Unajua hii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajua hii!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BG baba, Apr 4, 2012.

 1. B

  BG baba Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf sisi tunataka kuanzisha Association inayohusu kutoa elm ya maadili kwa vijana hasa ktk mavaz je 2tumie mbinu zp il tufanikishe suala hil?
   
 2. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi ni philosopher. Hata binaadam wakianza tena kutembea uchi mimi naona sawa tu., maana anaetembea au kusimama namfahamu hadi skeletal system bila kujali kama kafunga rubega, kasokota nyasi, au kavaa suti. Hasa mwenye kiherehere mwenye kuongea ovyo ndo namfikiria namfahamu mapema. Ah wakae hivyo hivyo bana.
   
Loading...