Unajivunia utanzania wako?

Najivunia kuwa Mtanzania japo nchi yenyewe haielewekieleweki inakoelekea.
 
Guyz wewe unajivunia kuwa mtanzania au unavumilia kuwa mtanzania???????

Jitambulishe kwenye jukwaa lautambulisho!!Na lugha za facebook huku hatunaga!!Any way nini ulikuwa unamaanisha nimetoka kapa!!hasa kwenye red ngoja waje weledi!
 
Jitambulishe kwenye jukwaa lautambulisho!!Na lugha za facebook huku hatunaga!!Any way nini ulikuwa unamaanisha nimetoka kapa!!hasa kwenye red ngoja waje weledi!

we kweli tango maji hata kama hujui kusoma na picha jee??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom