george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 1,971
Je, unajua kazi hasa zinazofanywa na wale jamaa wa 'Noah nyeusi'? Ungekuwa unazijua kazi zao Wala hata usingejisumbua kuandika uzi huu hapa Jf. Dunia hii no sehemu mbaya sana, Kuna watu ni wabaya kumzidi hata shetani. Jaribu kutafiti kidogo kuhusu kinachoitwa 'staged accidents' au 'targeted crimes,' nafikiri utaweza kujifunza kitu fulani.Sawa inatokea umesababisha ajali umeua binadamu mwenzako umekimbia kukwepa kwenda jela na umebahatika hakuna aliyekuona. Huko nyumbani kwako utaishije? unaingia mtandaoni unaona maelfu ya watu wanalia kwa kuondokewa na mpendwa wao ambaye wewe ndio chanzo.
Huwezi kuwa na amani, utaishi uraiani lakini bado nafsi na roho yako vitaishi maisha ya jela, kiufupi ni utateseka maisha yako yote. Wapo watu wengi wa aina hii mtaani tunaishi nao, watu ambao walisababisha ajali walipoona wameua wakakimbia na mpaka leo hawajagundulika, wapo wengi mioyo yao imebeba hukumu nzito zinawatafuna.
Tujitahidi kuwa na hofu ya Mungu, ajali haina kinga lakini tunapojaaliwa kumiliki usafiri wetu au tunapoendesha jitahidini kuwa makini, usijali roho yako tu beba na roho za watu wengine, inaumiza sana kuondoa uhai wa binadamu mwenzako ambaye ni tegemezi kwa familia yake.
Lazima uhisi hatiakawaida shida akili ulivyoiweka
Damu zitamdhuruNina shemej yangu akisikia yowe la mwizi anawahi na panga kwenda kummaliza mwenyewe. Kwahiyo watu tunatofautiana mioyo mkuu.
Hua na mwisho mbaya sanaJe, unajua kazi hasa zinazofanywa na wale jamaa wa 'Noah nyeusi'? Ungekuwa unazijua kazi zao Wala hata usingejisumbua kuandika uzi huu hapa Jf. Dunia hii no sehemu mbaya sana, Kuna watu ni wabaya kumzidi hata shetani. Jaribu kutafiti kidogo kuhusu kinachoitwa 'staged accidents' au 'targeted crimes,' nafikiri utaweza kujifunza kitu fulani.
Ila hutokua na amaniTatizo ni mob justice. Ukibaki wananchi wenye hasira kali wanakudedisha.....
Bora ukimbilie polisi
KabisaaMara kwa mara utakuwa ni mtu wa kuhisi hatia,, in short utakuwa umejifunga mwenyewe kifungo kibaya sana kuliko hata kupelekwa magereza
Hasa wanasiasaWatu wanachinja makusudi na wanaishi tu boss.
Hawana maisha malefuWatu wanachinja makusudi na wanaishi tu boss.
Kama una leseni hufungwiKwaiyo kuishi jela ndo kuna Amani.
Kikubwa kujiokoa mwenyewe amani itapatikana mbele ya safari
Maisha marefu ni miaka mingapi? Sitetei mauaji ila nakukumbusha tu kuwa hii dunia si kila binadamu ana roho nyepesi. Watu wana roho ngumu wanaweza kula figo na maini yako huku watu wako wa karibu wanashuhudia na wakaishi kama hakuna lililotokea.Hawana maisha malefu