The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Wakuu wasalaam,
Binadamu tumetofautiana kwa kila hali, kwa mfano mtu akiona anaogopwa na kila mtu yeye ndio furaha yake lakini mwingine lazima ajiulize kwanini naogopwa?
Bina hata mimi najisikia vibaya pindi napo ona naogopwa, takribani ni miaka miwili kuna watoto wa miaka 6 niliwaadhibu viboko mbele ya wazazi wao nia ilikuwa ni kuwaonya, Lakini mpaka sasa wakiniona lazima waniogope na wanakimbia licha ya kuwavuta na vijizawadi mbali mbali lakini wapi bado wananiogopa.
Binafsi najisikia vibaya na sipendi mtu aniogope.
JE WEWE UNAJISIKIAJE UNAPOOGOPWA?