Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

Kwa mazingira ya mjadala unavyoendelea bungeni, inaelekea 'mabulungutu' ya mapesa ya Singasinga na Rugemalila, yanaendelea 'kurushwa' kwenye akaunti za waheshimiwa wabunge wetu, kiasi ambacho wameamua kukomaa kuwatetea kwa nguvu zao zote, mafisadi waliohusika na kukwapua hizo bilioni 321.

Kweli sasa ndiyo tunaanza kuyakumbuka maneno ya mwalimu Nyerere, alipokuwa anatahadharisha sana kuwa serikali corrupt inaendeshwa na wafanyibiashara wakubwa wanaowahonga viongozi wao!

Aisee very true
 
Natamani kulia maana nimehuzunishwa sana na michango ya Wabunge wa CCM.

Hata kama hawajaona hoja ya Waziri Mkuu kujiuzuru bado walitakiwa kusimama na kuongea kwa ukweli kuhusu suala la Escrow Account
 
Kweli elimu ni kitu Muhimu huyu mama anayechangia muda huu hajui kitu ni shida tupu anapewa taarifa ila mbishi kuelewa.

Huyu mama ilibidi niulize kiwango chake cha elimu nikaambiwa ni UPE. Nikaona ni haki yake kuongea alivyokuwa anaongea.
 
Napata hasira kwa mbunge yyt anayetetea ubadhirifu mkubwa namna hii kbl haujaxikika, haujajadliwa, hawa viongozi wa taifa hili ni nonsense kabsa.
 
Waziri mkuu anapaswa kujiuzulu kwa sababu waliovurunda wako chini yake. Alipaswa kuondoka wakati wa Tokomeza
 
Mi sidhani kama Ndasa na yule Maza ni raia. Kibajaji anatukana halafu hapewi onyo. Anawaambia wanaume wenzake wanamrembulia na anaachwa tu. Huyu Zungu naye muhuni tu
 
Kwa mazingira ya mjadala unavyoendelea bungeni, inaelekea 'mabulungutu' ya mapesa ya Singasinga na Rugemalila, yanaendelea 'kurushwa' kwenye akaunti za waheshimiwa wabunge wetu, kiasi ambacho wameamua kukomaa kuwatetea kwa nguvu zao zote, mafisadi waliohusika na kukwapua hizo bilioni 321.

Kweli sasa ndiyo tunaanza kuyakumbuka maneno ya mwalimu Nyerere, alipokuwa anatahadharisha sana kuwa serikali corrupt inaendeshwa na wafanyibiashara wakubwa wanaowahonga viongozi wao!

As we speak wabunge wote wa ccm waliochangia leo na kutetea hili suala kila mmoja kavuta mil 3
 
Hivi hawa wabunge wanaotetea mafisadi wapiga kura wao nao ni mafisadi? Kwa nn wanatetea ufisadi waziwazi kwa nguvu zote na tena inaonekana hawajasoma hata ripoti maana wanaongea ya kwao. Ccm wamelishwa nn ghafla wamegeuka hivi? Na kama wamepata Mgao ewe mwananchi mlala hoi unategemea nn kutoka kwao?
Inaumiza sana!
 
vilaza kma hyu mama ni shida jmn
Jamani kamahuyu mama ndio wabunge ilituletea CCM kweli ni tatizo kubwa,asivyo na akili anaai kamati ya Zitto ni ya vyama vya upinzani?na kasahau kuwa PAC ina wajumbe 16(?)wa CCM na wapinzania ni 5,halafu nashangaa hawa wabunge wapo kwaajili ya maslahi ya nani ?kwa sampuli hii ya wabunge wetu akina Ruge wataiba kweli kweli,halafu wanachoniudhi ni kumsingizia Mungu wakati wanajua fika wanachoongea si kweli.Huyu mama na micheni yake ndio kapuku kweli kweli.
 
Nilichogundua wabunge wengi WA ccm Ni viazi. Wazalendo Ni wachache Sana nao Ni waoga kuwa wataonekanaje mbele ya mafisadi .big up to deo lugola kigangwala and the likes.
 
Kweli elimu ni kitu Muhimu huyu mama anayechangia muda huu hajui kitu ni shida tupu anapewa taarifa ila mbishi kuelewa.

Mkuu kumbe na wewe umeliona hilo, mama ni tabula lasa kabisa, aelewi chochote , kwa kupitia huyu mama nimestuka kwa nini bunge la katiba fisadi no. 1 andrew chenge alikuwa analazimisha kigezo cha mbunge kiwe darasa la saba.
 
he he he! Lusinde anasema watu wamemuomba tigo, asa kwa u***ko ule kwa nini watu wasikuombe tigo?
 
Wa tz sasa tujifunze kwamba viongozi hasa wabunge walio wengi wa CCM ni wapumbavu wanatetea wizi unao lileta taifa hili kwenye lindi la umasikini!!!ni hasara kuwa na viongozi kama hawa ubukinafaso unaitajika pumbavu zao
 
Ha ha ha ukiona wana ccm Kama wewe wanatamka maneno haya ujue wanawaunga mkono ccm imani Na siyo maslahi.jamani Na sisi tuwa support.
 
Huyu mama ilibidi niulize kiwango chake cha elimu nikaambiwa ni UPE. Nikaona ni haki yake kuongea alivyokuwa anaongea.

CV YA MBUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wasifu
Vijalizo vya Jina Mhe.
Jina la Ukoo: Kisangi
Jina la Kwanza: Mariam
Jina la Kati: Nasoro
Tarehe ya Kuzaliwa: 1962-08-08
Mahali Alipozaliwa:
Hali ya Ndoa: Nimeolewa
Kundi: Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Jinsia: F
Simu ya Ofisi: -
Simu ya mkononi: 787712234
Barua pepe: kisangimariam@yahoo.com
Anuani:
-

Elimu
Toka Hadi Jina la Shule/Chuo Cheti

1968 1975 Wailes-Temeke Cheti
1976 1979 Chang'ombe Cheti
1980 1981 Chuo cha Uwalimu Tukuyu -
2007 2008 University of Dar es Salaam Diploma in Cultural Heritage

Mafunzo Mengineyo
Toka Hadi Jina la Shule/Chuo Cheti

2007 2008 University of Dar es Salaam Certificate in Cultural Heritage

Uzoefu
Toka Hadi Jina la Mwajiri Ngazi/Wazifa

1983 2010 Manispaa Temeke Mwalimu Mkuu

Burudani
Mazoezi
Kujisomea
Michango
Maswali
Maswali ya Nyongeza
Work in Progress...
 
Hapa nachukua namba yake nimwshauri aende shule. Bado Ni pumbavu.
 
Back
Top Bottom