Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

Unajisikiaje mbunge wako akitetea mafisadi

Baada ya Bunge kupitisha maazimio kadhaa ikiwemo kwa baadhi ya mawaziri kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua, zimekuwepo jitihada kubwa sana katika jamii yetu kuwatete baadhi ya watuhumiwa, je ni kweli wanafanya hivyo kwa maslahi ya nchi au ni kwa sababu ni wanufaika au kuna sababu nyingine?
 
hawatetei wanaeleza ukweli kwa kuwa wanalielewa vizuri suala la escrow ila wasiolijua kama wewe mleta post hii hulielewi viziri
 
Back
Top Bottom