DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,982
- 30,864
Najiona mume bora mwenye mafanikio na mwenye familia yenye amani.Huwezi kuwa zaidi ya UNAVYOJIONA.Sehemu ya kwanza ya mafanikio yako ni Ile picha ya KUHUSU WEWE uliyonayo ndani yako.
UNAJIONAJE?
Kuna watu wanajiona HAWAWEZI kwa sababu kuna watu waliwaambia hivyo ama kwa sababu walijaribu kitu na wakafeli.
UNAVYOJIONA ndivyo ambavyo UTASEMA.Ukitaka kujua mtu anajionaje angalia ANAVYOJIAMBIA.Ukiona kila saa unasema maneno "NEGATIVE" ina maana picha yako ya NDANI bado unajiona SIO wa MUHIMU.
Watu huwa wanahusiana na wewe kama vile UNAVYOJIONA.Unapoanza kujiona wewe ni mtu maalumu hata kama hakuna anayekukubali,unapoanza kujiona kuwa UNAWEZA hata kama bado NDOTO yako HAIJATIMIA,ghafla watu wataanza kukuona tofauti na kukuchukulia tofauti.
Leo usijali watu wanakuonaje;Je,wewe unajionaje?Usiseme wanavyokuona na wala USIISHI kama wanavyokuona-SEMA na ISHI kama UNAVYOJIONA.
Unajionaje?
Ukimpata mwerevu, unamfungulia mawili matatu ili hata ukiadimika aweze kujibia kwa wadau.Ya WhatsApp yenyewe sifanyagi je ya humu ambapo hatujuani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza saa hizi mna amani eeh?Najiona mume bora mwenye mafanikio na mwenye familia yenye amani.
Hao ni wakumulika kwa tochi zama hizi, ni bahati sana kumpataUkimpata mwerevu, unamfungulia mawili matatu ili hata ukiadimika aweze kujibia kwa wadau.
Ukitumia tochi za mwendokasi unaweza kumpata.Wamebaki wachache sana.Hao ni wakumulika kwa tochi zama hizi, ni bahati sana kumpata
Hizo tochi unaweza kumulika ambacho hakistahili kumulikwaUkitumia tochi za mwendokasi unaweza kumpata.Wamebaki wachache sana.
GoodNajiona Mimi,
Kwa viwango vingine[emoji1][emoji1][emoji1]
Ndio maana nakupenda...!Najiona ni wa kawaida sana.
Labda mwingine anione ni wa hadhi fulani
Nimekumiss Shem DarlingGood
EeehNdio maana nakupenda...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Braza saa hizi mna amani eeh?
Hahaha hata mi ya wasap hunikamati walahi,hivi vitu vina wenyewe.Sio kila kitu ni cha kila mtuYa WhatsApp yenyewe sifanyagi je ya humu ambapo hatujuani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina neno zuri zaidi ya kukuambia nashukuruNdio maana nakupenda...!
Ha ha ha ha ha...itamulika wote lakini mmoja atapenya kwenye chujio hilo.Hizo tochi unaweza kumulika ambacho hakistahili kumulikwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hata mi ya wasap hunikamati walahi,hivi vitu vina wenyewe.Sio kila kitu ni cha kila mtu
Kaka unantisha,upekee wa aje tena?Najiona nipo kipekee pekee tu....
Maana mambo ninayo yafanya naona ni risk kwa mtu mwingi dogo lake....
Hongera ya nini tena?Eeeh
Hongeraaa!