Unajifunza nini kutoka kwenye hii picha?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,458
Reaction score
17,945
Kuna lugha nzito sana ya kisanaa kutoka kwenye hii picha.

what do you learn here?

1798664_1168263273188089_8229121506058212217_n.jpg
 
Aisee, ile sindano imeingia au macho yangu yanaona giza? hafu huyo dogo kauzu tu kishenzi, hii isije kuwa dogo kazaliwa teja toka tumboni. au zaidi kuna kaujumbe pale nimekapata ila sijajua niufikishe vipi.

lakini hata hivyo huyu mama nae ujasiri hana hata kidogo, yani hata kustuka afumbue macho kujua nini kinaendelea kwa mwanae hakuna, mtoto halii hata kidogo lakini yeye hashtuki.

hafu naona dawa kama dawa bado haijasukumwa pale au? may b ikisukumwa mtoto atalia na mama atashtuka na kumtupa matoto chini.
 
Mwanamke ana uvumilivu wa maumivu tangu akiwa mdogo ili pindi akuapo atimize agano la kuzaa kwa uchungu.
 
N8lichojifunza mimi hapo ni timing nzuri sana ya mpiga picha. Nina hakika sekunde iliyofuata picha imebadilika vibaya.. dogo anatoa chozi na kilio mpaka basi mama anakazi ya kubembeleza.. watoto wengine hawajakariri maumivu ya sindano mpaka ikishadungwa ikitoka ndio ving'ora vinaanza utafikiri ambulance inapeleka mgonjwa muhimbili..
 
Aisee, ile sindano imeingia au macho yangu yanaona giza? hafu huyo dogo kauzu tu kishenzi, hii isije kuwa dogo kazaliwa teja toka tumboni. au zaidi kuna kaujumbe pale nimekapata ila sijajua niufikishe vipi.

lakini hata hivyo huyu mama nae ujasiri hana hata kidogo, yani hata kustuka afumbue macho kujua nini kinaendelea kwa mwanae hakuna, mtoto halii hata kidogo lakini yeye hashtuki.

hafu naona dawa kama dawa bado haijasukumwa pale au? may b ikisukumwa mtoto atalia na mama atashtuka na kumtupa matoto chini.

Ha ha ha ha nimechejaje
 
Back
Top Bottom