Mimi kuna mambo mawili yameniboa kuhusu Bush?
1. Wameulizwa nini wanajivunia kuhusu urais wao. Clinton akasema anajivunia kuiacha nchi katika hali nzuri kiuchumi. Bush akasema anajivunia watoto wake wa kike bado wanampenda. Mwanzo nilifikiri anafanya utani kumbe ndio jibu lake hilo.
2. Wakaulizwa nini wanafanya sasa. Clinton akazungumzia Foundation yake inavyomuweka bize na kusaidia watu duniani. Bush akasema alikuwa anafanya mazoezi akawa bored akaamua achore picha.
Halafu Bush katoa majibu hayo mbuzi baada ya majibu ya Clinton. Ningemuelewa kama angeulizwa yeye kabla ya Clinton. Ila nimependa ukweli wa majibu yake hasa kwenye swali la anajivunia nini kuhusu urais wake. Hakutaka unafiki wala kutoa visingizio.