fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 #1 Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
SAMORE JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 409 Reaction score 577 Dec 1, 2024 #2 mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #3 SAMORE said: mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu Click to expand... Sawa,sasa jaribu kuhesabu kuanzia kesho
SAMORE said: mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu Click to expand... Sawa,sasa jaribu kuhesabu kuanzia kesho
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,666 Reaction score 830,553 Dec 1, 2024 #4 fimboyaukwaju said: Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi? Click to expand... Jesus Christ on the cross...!🥺🥺🥺
fimboyaukwaju said: Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi? Click to expand... Jesus Christ on the cross...!🥺🥺🥺
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #5 Mshana Jr said: Jesus Christ on the cross...!🥺🥺🥺 Click to expand... Kawaje?
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,753 Reaction score 4,800 Dec 1, 2024 #6 SAMORE said: mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu Click to expand... Isije kuwa ndo umekaa karibu na mimi Mkuu! Maana naona hapa nilipo tumbo limejaa gesi kwa sababu ya vijambo vyako, hebu jaribu kuwa msitaarabu basi. Kuna sehemu za kwenda kujambia. Na utaratibu ni kwamba, ukimaliza kujamba, unatawaza kwa maji.
SAMORE said: mimi najamba kila pale kijambio kinapotaka kujamba so huwa sina time ya kuhesabu Click to expand... Isije kuwa ndo umekaa karibu na mimi Mkuu! Maana naona hapa nilipo tumbo limejaa gesi kwa sababu ya vijambo vyako, hebu jaribu kuwa msitaarabu basi. Kuna sehemu za kwenda kujambia. Na utaratibu ni kwamba, ukimaliza kujamba, unatawaza kwa maji.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,637 Dec 1, 2024 #7 Kujamba hakutokani na jinsi wewe mjambaji mashuhuri bali mifumo ya chakula ambayo iko sawa kwa jinsi zote
Kujamba hakutokani na jinsi wewe mjambaji mashuhuri bali mifumo ya chakula ambayo iko sawa kwa jinsi zote
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #8 EvilSpirit said: Kujamba hakutokani na jinsi wewe mjambaji mashuhuri bali mifumo ya chakula ambayo iko sawa kwa jinsi zote Click to expand... Kumbe!
EvilSpirit said: Kujamba hakutokani na jinsi wewe mjambaji mashuhuri bali mifumo ya chakula ambayo iko sawa kwa jinsi zote Click to expand... Kumbe!
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,866 Reaction score 36,294 Dec 1, 2024 #9 Kwaiyo kila ukijamba unahesabu ili iweje
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #10 ngara23 said: Kwaiyo kila ukijamba unahesabu ili iweje Click to expand... Ili uweze kujibu swali nililouliza
ngara23 said: Kwaiyo kila ukijamba unahesabu ili iweje Click to expand... Ili uweze kujibu swali nililouliza
koboG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2016 Posts 2,763 Reaction score 5,174 Dec 1, 2024 #11 Kiafya binadum anapaswa kwa siku moja ajampe mala 20 yani ndani ya masaa 24 ujampe mala 20
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,474 Reaction score 105,034 Dec 1, 2024 #12 Mungu aingilie kati hiki kizazi aiseeee
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,944 Reaction score 41,545 Dec 1, 2024 #13 Haina haja ya kuponda swali lako maana ni kweli kila mtu hujamba. Idadi ya kujamba inategemea umekula chakula gani
Haina haja ya kuponda swali lako maana ni kweli kila mtu hujamba. Idadi ya kujamba inategemea umekula chakula gani
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,333 Dec 1, 2024 #14 fimboyaukwaju said: Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi? Click to expand... Usijiachieachie hovyo.Mashaka yatatawala kuhusu muundo kamili wa marinda yako.
fimboyaukwaju said: Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi? Click to expand... Usijiachieachie hovyo.Mashaka yatatawala kuhusu muundo kamili wa marinda yako.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,666 Reaction score 830,553 Dec 1, 2024 #15 fimboyaukwaju said: Kawaje? Click to expand... Aliangikwa msalabani Golgota ili wenye dhambi wote wapate msamaha wa dhambi kupitia damu yake takatifu iliyomwagika pale mlimani
fimboyaukwaju said: Kawaje? Click to expand... Aliangikwa msalabani Golgota ili wenye dhambi wote wapate msamaha wa dhambi kupitia damu yake takatifu iliyomwagika pale mlimani
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,170 Dec 1, 2024 #16 Ukijaza maharagi kwenye tumbo huo mziki ni wa aina yake. Ila unajisikia poa kwa kuwa unapunguza gesi.
Ukijaza maharagi kwenye tumbo huo mziki ni wa aina yake. Ila unajisikia poa kwa kuwa unapunguza gesi.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #17 Mshana Jr said: Aliangikwa msalabani Golgota ili wenye dhambi wote wapate msamaha wa dhambi kupitia damu yake takatifu iliyomwagika pale mlimani Click to expand... Oh hiyo nilikuwa sijui,maana mie sina uelewa mkubwa kuhusu masuala ya dini
Mshana Jr said: Aliangikwa msalabani Golgota ili wenye dhambi wote wapate msamaha wa dhambi kupitia damu yake takatifu iliyomwagika pale mlimani Click to expand... Oh hiyo nilikuwa sijui,maana mie sina uelewa mkubwa kuhusu masuala ya dini
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,717 Reaction score 7,397 Dec 1, 2024 Thread starter #18 LOTH HEMA said: Haina haja ya kuponda swali lako maana ni kweli kila mtu hujamba. Idadi ya kujamba inategemea umekula chakula gani Click to expand... ok sawa
LOTH HEMA said: Haina haja ya kuponda swali lako maana ni kweli kila mtu hujamba. Idadi ya kujamba inategemea umekula chakula gani Click to expand... ok sawa
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,944 Reaction score 41,545 Dec 1, 2024 #19 Kuna wengine wakila maharage wanavimbiwa, mwendo ni kujamba tu bila kujua umejamba mara ngapi.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,142 Dec 1, 2024 #20 Jf inazidi kutumbukia shimoni Halafu wewe ulisema una miaka 60!