Semilong,nimejaribu inafanya kazi poa tuu.
kuongezea
hata kama email yako ya JF ni tofauti na unayotumia kwa shughuli zako zingine, unaweza ukatumia email yako ya kawaida ku- import contacts na kuwaalika watu.
invisible
ungekuwa unaemail members monthly email za kualika watu JF , na members wana zi forward. email inaambatana na news flani ambayo itamfanya receiver aisome (kama vile ukiwa ume subscribe kwenye magazeti kama FT na mengineyo.
Anytime BossThank u.
semilong,
shukrani kwa kuthibitisha kuwa inafanya kazi na pia kwa kuwaelewesha wengine namna gani inafanya kazi.
Suala la pili tutalifanyia kazi.
Anytime boss
Umesomeka mkuu, tatizo ni moja... TBC1 watakubali? Well, wakubali au wasikubali, gharama nani alipie mkuu? Unaweza kusoma hapa ujue kwanini naandika hivi.Mi ushauri wangu kwenu jitahidini pia na Tv advertisement, sio expensive kihivyo, uliza rates za TBC1, hasa kama mtatangaza masuala ya nafasi za kazi, dating na nk.
Umenipata?
umesomeka mkuu, tatizo ni moja... Tbc1 watakubali? Well, wakubali au wasikubali, gharama nani alipie mkuu? Unaweza kusoma hapa ujue kwanini naandika hivi.
Na kuhusu gharama ni sisi members tufanye initiative. Binafsi nilipanga kujitolea but i cant promise that..now, inshaalah after a year from now.....may be... JF ni no 1 website in tanzania but members ni 8,000 tu.
Kenya face book members ni zaidi ya laki nane.....
Wapo watanzania wengi ambao jf ingewasaidia sana, but hawana taarifa ...unanipata?
Threads: 28,776, Posts: 592,484, Registered Members: 13,584
Atujaona sapotedi browser ,au zote zinakubalika ?
YES, nakuhakikishia...Hii ngoma inausalama kweli Inv?.
No mchango wangu mdogo nautoa very soon,n
niliposema kujitolea nilimaanisha kulipa bajeti ya mwezi mmoja ya tv adverts by myself....
the boss,
we call that - " fake it till you make it syndrome"
paypal mchango fasta hata kama hutaandika jina poa tuu.