Unaikumbuka hii?

Unaikumbuka hii?

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,858
6518d1257690290-a-mv.jpg

Unaikumbuka hii Meli...?
Wenyewe walikuwa wanaihita "Desemba Twaja"

MV.jpg​
 
6519d1257690896-a-w.jpg

Moja ya mitaa mjini Wete

6520d1257690896-a-wp.jpg

Bakery ya mikate (mikate ya Ajemi)

W.jpg

WP.jpg
​
 
Wakuu hii ni MV Muungano?

Msianze tena hiyo ni MV Mapinduzi hii ni mali ya ZANZIBAR pekeyake na ilipoletwa wakati ikiwa mpya tuliletewa na zawadi ya Tembo wawili wakiwa Ndani yake kwa bahati nzuri wakawekwa pale vetinari maruhubi mwisho wakafilia mbalini Thank GOD for that.
 
Naam MV. Mapinduzi, Viumbe (Tembo) vimekosa matunzo unashukuru!? Kama unashindwa kuwaonea huruma wanyama utaweza vipi kuwaonea huruma binadamu wenzio?
 
Kwa wale waliyo soma kusini enzi zile... MV MAPINDUZI tulikula ubwabwa wenyewe tuukita staff (UKOKO) Enzi za MWALIMU hizo. Wadaui hii meli bado ipo?
 
Naam MV. Mapinduzi, Viumbe (Tembo) vimekosa matunzo unashukuru!? Kama unashindwa kuwaonea huruma wanyama utaweza vipi kuwaonea huruma binadamu wenzio?

Kwani wewe unafikiri mwenyezi Mungu alikosea kutoweka wanyama wa hatari hapa Zenj ?unafikiri ingekuwaje leo hii na sisi tungekuwa makatili kama hao wanyama akina simba na weziwao.
 
Hivi kuna mnyama katili zaidi ya binadamu?
 
Naam MV. Mapinduzi, Viumbe (Tembo) vimekosa matunzo unashukuru!? Kama unashindwa kuwaonea huruma wanyama utaweza vipi kuwaonea huruma binadamu wenzio?

Hii Mapinduzi iliwahi zushiwa balaa la kuzama na kuua chipukizi toka Tanga waliokwenda Zenji kwenye sherehe za kuzaliwa CCM. Uzushi ulianzishwa Ngamiani sokoni within hours ukaenea Tanga mjini yote. Kasheshe ilikuwa kubwa wakazi wa mji wakamzukia Mkuu wa mkoa, juhudi zake za kupinga uzushi hazikusaidia, ikabidi aruke kwenda Zenji na kuunganisha baadhi ya watoto na wazazi wao kwa simu, hapo ndio wazazi waliamini watoto wao wako hai na kutawanyika!
 
Back
Top Bottom