Unaikumbuka Hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaikumbuka Hii?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kinyungu, Jul 24, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Dah hii picha imenikumbusha mbali sana!

  Je ungekuwa wewe ungefanyaje?


  zamani.jpg
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuna mwimbo ulikuwepo enzi hizo kuhusu hii picha....can't recall now
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Bora Simba ataweza kukujeruhi kama utafanya vurugu lakini sio mamba kwenye Maji!!
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  MadameX kumbe na wewe ni wazamani!! Kama sijakosea huo wimbo ulikuwa unaitwa NIMUOKOE Nani.......?
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wewe unamkichwa wewe....
   
 6. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna wimbo wa "msitu na Nyika" ndio unafanana na hiyo picha.

  apa nilipo ni msitu na nyika,*2
  Mbele yangu kuna tembo,
  Kulia kwangu kuna simba,
  Kushoto kwangu kuna simba


  Siukumbuki vizuri, lakini ni baadhi ya maneno ijapokua nimechanganya sijui.
   
 7. Avaya

  Avaya Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duuuh hapa hakuna la kuchagua cha msingi ni kumuomba muumba tuu maana hakuna ujanja lazima urest ukiomba Mungu utaweza kurest inpeace
   
 8. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wimbo huo uliiimbwa na bendi iliyokua inaitwa national panasonic, enzi hizo mwaniwane, redio moja, idhaa moja, chama kimoja, utachoka.!
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unawaambia kwa msisitizo stoooooooooooooooooooooooooop,kama mtu mmoja kati yenu hajitaki aniguse lakini wakati huo nahisi nyuma ya kaptula kutakuwa kushajaa kitu saizi ya kujaza kiroba.
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  humuombi mungu mpaka kinuke.
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dah! Nimecheka sana kwa huu ubunifu wako,kweli kifo siyo mchezo
   
 12. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni noomaaa
   
Loading...