Unaikumbuka hii Picha??

Unaikumbuka hii Picha??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Bof..........................................

  • :cool2:
    • :cool2:

kukumbatiana.jpg
 
Nadhani ni pale walipokutana Kwa Mzee Madiba
 
Andunje ni Mr. Clean na ngongoti ni Kwereboy
 
Kama sikosei hii ilikuwa 1995 kwenye kura za maoni za kumteua mgombea wa uraisi kwa tiketi ya CCM na hiyo ni muda mfupi baada ya Mkapa kutangazwa kuwa mshindi.
Mwl. Nyerere yupo pembeni(haonekani pichani)
 
Uko sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom