Unaikumbuka hii picha?

Unaikumbuka hii picha?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,238
Kama ulikuwepo unaikumbuka hii picha!!
 
Attachments

  • SIZITAKI MBICHI HIZI.jpg
    SIZITAKI MBICHI HIZI.jpg
    311.2 KB · Views: 311
Nakumbue enzi ile nikiwa kawa siyo standard five bila shaka ni six lakini naweza kusema ni kitambo kwn ni miaka ya 1986-87 bila shaka!

Je? Kuna jipya zaidi wa kwetu? Tujuze tu!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana mwaka 1990 kijijini kule Primary School,asee! Hivi hiki kitabu kilikuwa kinaitwaje kwenye cover lake?
 
Dah! enzi zile za karudi baba mmoja toka safari ya mbali!! Kisa kilichoandamana na picha hii kilikuwa maarufu sana enzi hizo.
 
picha hii ilikuwa kwenye shahiri: Sizitaki Mbichi Hizi. Kiswahili Darasa la tatu,wakati huo elimu ni elimu kweli. Siku hizi tunatafuta utambulisho tu,eti wanafunzi wasitili viwiliwili vyao,waepushe matamanio...tuweke misalaba kwenye madarasa ili watoto wetu wakue ki-imani...haya yanasaidia nini lakini wakati mitoto inakuwa mijinga tu?
 
hapa na kumbu shule ya msingi maana ticha wa hili somo alikuwa mnoko balaaa
 
hapa na kumbu shule ya msingi maana ticha wa hili somo alikuwa mnoko balaaa
Nakumbuka pale Magomeni Makurumla ndiyo ilikuwa ni Ghala la vitabu kwa shule za Kinondoni, vikiisha mnakwenda kuchukua. Mwalimu aliwahi kusema hakuna elimu ya Bure. Lakini ki ukweli yule mzee aliwekeza sana kwenye Elimu!
 
picha hii ilikuwa kwenye shahiri: Sizitaki Mbichi Hizi. Kiswahili Darasa la tatu,wakati huo elimu ni elimu kweli. Siku hizi tunatafuta utambulisho tu,eti wanafunzi wasitili viwiliwili vyao,waepushe matamanio...tuweke misalaba kwenye madarasa ili watoto wetu wakue ki-imani...haya yanasaidia nini lakini wakati mitoto inakuwa mijinga tu?

kwakweli sasa hivi hali ni mbaya sana ndugu..yaani kuna form one hawajui kusoma wala kuandika..inasikitisha..hii kitu nilishuudia mwenyewe kwenye shule moja huko magu.
 
kwakweli sasa hivi hali ni mbaya sana ndugu..yaani kuna form one hawajui kusoma wala kuandika..inasikitisha..hii kitu nilishuudia mwenyewe kwenye shule moja huko magu.
Noo way, tell me you're kidding bana!Duh!
 
Dah kweli umenikumbusha mbali sana mkuu
Nimelikumbuka na shairi la FIKIRI MIMI MASIKINI UVIVU WANGU NYUMBANI......
Duh wakati huo maisha yalikuwa bomba sana kuliko watoto wa sasa
 
Nakumbuka pale Magomeni Makurumla ndiyo ilikuwa ni Ghala la vitabu kwa shule za Kinondoni, vikiisha mnakwenda kuchukua. Mwalimu aliwahi kusema hakuna elimu ya Bure. Lakini ki ukweli yule mzee aliwekeza sana kwenye Elimu!
mkuu nimesoma makurumla p/s
 
naona nafanya kazi bila faida kujua,yakamtoka machozi sungura akagumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom