Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akisalimiana na Dk. Steven Ulimboka alipofanya mazungumzo na madaktari.
Mkuu Baba V huogopi Usalama wa taifa? watakupeleka Mabwepandeni.
Mkuu Baba V Ngojea Mpira uwe uwanjani mwaka 2015 Umchaguwe Kiongozi unayemtaka sio kuropoka tu ovyo haisaidii kitu ngojea mpira uwe uwanjani Umchaguwe Kiongozi unayemtaka.Aaah! mkuu MziziMkavu sina cha kupoteza, hawa jamaa walivyotuharibia maisha ni kama vile kila siku tuko mabwepandeni ha ha ha
Aaah! mkuu MziziMkavu sina cha kupoteza, hawa jamaa walivyotuharibia maisha ni kama vile kila siku tuko mabwepandeni ha ha ha
Mkuu Baba V huogopi Usalama wa taifa? watakupeleka Mabwepandeni.
![]()
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akisalimiana na Dk. Steven Ulimboka alipofanya mazungumzo na madaktari.