Unaijua redio ya mchina? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaijua redio ya mchina?

Discussion in 'Jamii Photos' started by tz1, Jun 13, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  photo(1).JPG

  Hii redi iliwika sana enzi hizo.
   
 2. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yes, Hii ndio "orijino 277 dudu prufu" ilikua na alama ya Mende kapigwa X nyuma. Hata panya waliishindwa hii kitu. Kibiko!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  alexaid umenikumbusha dudu prufu nilisahau hilo jina.
  Kulikuwa na story inasema mmasai alimuona jaa kaiangusha chini dudu prufu baada ya kuinyanyua mtangazaji kwenye radio akasema "ndugu wapendwa bado tunaendelea" masai alishangaa sana na kwenda kununua redio.
  Hichi ndioyo kisa wa masai wengi walikua na redio hizo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo sio ya Kichina ni Japan.
   
Loading...