FM facts
Member
- Mar 16, 2019
- 45
- 88
Je Unaijua Nchi hii ya Iceland? Karibu Uijue Hapa Kupitia #FMfacts!.
1. Iceland ni Nchi inayopatikana Barani Ulaya, Idadi ya Watu Nchini Humo inafika 340,000. Iceland Hakuna Mbu wala Nyoka!.
2. Bunge la Iceland ndilo Bunge Kongwe Zaidi Duniani, Lilianza Tangu Mwaka ya 930!.
3. Nchini Iceland Kuna Mikoa 8 tuu, Lakini Zaidi ya Asilimia 60% ya Watu Wote Nchini humo Wanaishi Katika Mkoa Mmoja wa Reykjavík Kaskazini mwa Nchi hiyo, na 40% Wanaishi Katika Mikoa 7 Iliyobaki.
6. Nchini Iceland Hakuna Jeshi, Askari Hawatumii Silaha za Moto kama Bunduki N.K, Rekodi ya Matukio ya Uharifu ni Ndogo sana Nchini Humo, Ni Mtu Mmoja tuu Aliyewahi Pigwa Risasi na Askari Katika Historia ya Nchi hiyo.
7. Katika Mji wa Reykjavík Kuna Makumbusho Ambayo Kunapatikna Sanamu za Uume wa Wanyama Mbalimbali Ukiwemo Uume wa Binadamu.
8. Nchini Iceland Hakuna Usafiri wa Treni, Hakuna Reli Nchini Humo.
Sent using Jamii Forums mobile app