Unaijua hospitali ya mission Peramiho Songea

Cyberteq,
if the problem is "Shati la mikono mirefu" mpigie simu kwa no niliyokutumia. Ila concern yangu ni deflection ya kuwatuhumu wamissionari na madini.
kwa watu wa Songea wanajua mchango wa Wamissionari sio kiroho tu, shule karibu zote , hospitali mifugo na kilimo bila ya nao watumishi wa Mungu kusingekuwepo maendeleo. Uliza shule ya Songea, TTC Peramiho, kigonsera, ndanda sec na hospitali, etc
 
Mtoa mada kasema wagonjwa wengi huduma huchukua muda mrefu, sawasawa kabisa atujulishe pia ikama ya waganga na wataalamu wengine. Kama wagonjwa ni wengi bado inaendelea na sifa ya matibabu bora hakuna upuuzi wa kuandikiwa dawa kabla hujajieleza shida yako
 
Nilipata huduma nzuri sana Peramiho na hata Ruvuma Regional hospital,mleta mada sijaona lalamiko la maana kwakua watu wengi wanaiamini sana peramiho kwahiyo wanaohtj huduma ni wengi sana lazima foleni iwepo tu.Jambo baya zaidi ni kwamba watu wa Songea wanaacha hospitali kubwa ya mkoa na kukimbilia peramiho hata kwa magonjwa ya kawaida kama malaria ndomana wanarudi jioni maana peramiho wanafanya kazi kwa utulivu.
 
Nimezaliwa kwenye hiyo hosptali ile ijumaa ya tar.3.3.1989. Ila huduma zimedorora sana siku hizi
 
Teh teh kikwete aliipa hadhi ya hospital ya rufaa kwa ushabiki wa kupata kura!hapo kuna uwanja wa ndege wamissionary wanabeba madini pembe za ndovu kiulaini
Afadhali hata hao wanachukua pembe za ndo lakini kuna hospitali.... Vipi Kinana.??
 
Sasa uzuri wa huduma hapo uko wapi kama huwa zinaenda pole pole na kwa "kuvaa shati la mikoo mirefu"? Kwa mtazamo wangu hapo huduma zimeshakuwa mbovu, suluhu kwa wagonjwa ni kuirudisha hiyo hospitali kwa wenyewe, Wabenedictine kwani walikuwa wanawajali wagonjwa kwa kuwapa matibabu bora tena kwa wakati.
nimetibiwa peramiho mwezi uliopita dr simfahamu kwa jina ila ni chumba namba 29 nilifarijika sana na huduma niliyoipata pale hadi kukamilisha matibabu ilinichukua siku mbili na shida iliyokuwa inanisumbua nimezunguka nayo hospital nyingi sana tanzania ninachowaombeni watanzania wenzangu tusiwe washabiki wa nje nenda pale kajionee mwenyewe unaweza ukapata cha kuchangia hapa. kuhusu foleni oleni ni kubwa sana na hii ni kutokana na wagonjwa kuwa wengi kutoka pande tofauti na hii ni kutokana na kushindwa kwa hospital za serikali ukanda huu ikiwepo rufaa mbeya kuna wagonjwa kutoka swanga niliwakuta pale wametokea rufaa mbeya
 
kuhusu kuchukuliwa na serikali sio kweli ila isipokuwa imepewa hadhi ya kuwa hospitali teule ya rufaa serikali inatoa ruzuku na mishahara kwa wafanyakazi zaidi ya asilimia 80% ila uendeshaji vifaa na mambo mengine yote ikiwemo management iko chini ya wao wenyewe wa benedictine nimeona masista pale na niliambiwa kuwa mkurugenzi ni bruda mbenedictine anaishi ujerumani anakuja kwa mwaka mara mbili tu na analeta vifaa vya kisasa kila mara na ni kweli wana vifa tiba vya kisasa sana kwa kifupi wamejipanga. na wagonjwa wanaotibiwa pale wengi ni kutoka nje ya mkoa
 
Haya sasa hamieni Regional hospital Songea. Madaktari wapo wa kutosha na kunahuduma za kila aina uanzotaka. Huduma zipo za kuanzia daraja la 1 hadi la 3. Wapo madaktari wengi. Kuna kijana kaja hapa anaitwa Dr mdede alikuwa Peramiho anapiga kazi balaa. Karibuni sana aka HOMSO

hapo napo ni tattizo zaidi!
 
Back
Top Bottom