Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,572 Reaction score 20,453 Apr 7, 2023 #1 Wengi tumezoea yale meno ya kwenye viatu vya mpira ndiyo njumu. Lakini asili kabisa ya neno njumu ni hako kakipele wanakoweka mbele ya rungu. Hako ni hatari sana. Ndiko kanapasua fuvu la kichwa. Wamasai wanatumia sana marungu yenye njumu. Kama kuna mtu anafahamu yanakouzwa anijulishe. Njumu zinahistoria ndefu sana. Toka enzi za wamisri wa kale ziliwekwa kwenye marungu.
Wengi tumezoea yale meno ya kwenye viatu vya mpira ndiyo njumu. Lakini asili kabisa ya neno njumu ni hako kakipele wanakoweka mbele ya rungu. Hako ni hatari sana. Ndiko kanapasua fuvu la kichwa. Wamasai wanatumia sana marungu yenye njumu. Kama kuna mtu anafahamu yanakouzwa anijulishe. Njumu zinahistoria ndefu sana. Toka enzi za wamisri wa kale ziliwekwa kwenye marungu.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 7,312 Reaction score 12,764 Apr 7, 2023 #2 Nishapigwa sana na hako na kichwa hakijapasuka
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,544 Reaction score 74,314 Apr 7, 2023 #3 Aione:-Job Yustino Ndugai Alipompiga Mgombea Mwenzake Njumu Akazilai
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,572 Reaction score 20,453 Apr 7, 2023 Thread starter #4 Mcqueenen said: Nishapigwa sana na hako na kichwa hakijapasuka Click to expand... Unauhakika?
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 7,312 Reaction score 12,764 Apr 7, 2023 #5 Lycaon pictus said: Unauhakika? Click to expand... Kama jua lichomozavyo