Hivi visiwa vipokaribu na nchi tajiri hivyo watu wanakwenda hata weekend tuu kupumzika na kurudi, mfano flight kutoka Miami - Bridgetown ni 3hrs. Sisi huku safari ya kuja Kilimanjaro tuu inachukua masaa zaidi ya 20, hivyo utalii unakuwa wa ana ana doo.Zanzibar wanachemsha wapi sijui
Mbona nimemsikia waziri mkuu wao akisema uchumi wao ni mdogo kuliko wa Kenya.Hii nchi-kisiwa iliyoko West Indies. Nimevutika kutafuta taarifa ya Kisiwa hiki baada ya kuona taarifa kuwa Raisi Kenyata wa Kenya yupo kisiwani huko kusaka Wawekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Kenya na kisiwa hiki.
Kwa ufupi nchi hii:-
- Ni Nchi ya kifalme na Mji wake Mkuu ni Bridgetown, - Ina idadi ya watu zaidi ya 300,000 ambapo asilimia 90 yake ni watu weusi (afro-caribbean) na Eneo la ukubwa wa kilometa za mraba 439.
- Shughuli kuu za uchumi ni utalii, Biashara ya Kimataifa na foreign direct-investment,
- Pato la Mwananchi kwa mwaka ni wastani wa USD 17,450 sawa na Tshs 40,135,000/=
- Wastani wa mtu kuishi ni miaka 74,
- Wanatumia sarafu ya dola ambayo thamani yake ni kama Tshs 1,138.82
-Kunatoka wanamziki wakubwa kama Rihanna na LL- Cool J na wengine wengi pamoja fani nyingi za michezo.
Karibuni Bridgetown Barbados.
Nimependa juhudi za Mheshimiwa Kenyata kuvumbua machimbo mapya yenye fursa ya aina hii.
TUWEKEE HATA PICHA TUONE BASI KULIVYOHii nchi-kisiwa iliyoko West Indies. Nimevutika kutafuta taarifa ya Kisiwa hiki baada ya kuona taarifa kuwa Raisi Kenyata wa Kenya yupo kisiwani huko kusaka Wawekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Kenya na kisiwa hiki.