walio mbali ya TZ inawezekana?

Yeah sure,...

unatakiwa uwe na simu yenye GPS chip,...

e.g

Blackberry,motorola iDEN,Boost Mobile,Windows mobile,....

zote zenye sifa ya kuwa na GPS you can mention,...

hii ni software so,popote pale ulipo unapata
wee speaker wee.....utatufanya wenzio tufe mwili na roho.......mi usinifundishe kabisaaa....maisha bado matamu........tatizo sasa na huyo mwenzangu akisoma hii thread
ume soma risk zake lakini?
Mimi niliwahi ku google kama kuna uwezekano wa kukamata cheater. Nikapata kampuni moja US ila wakanambia hawawezi toa service Tz. Yaani wana mitambo nadhani inatrace movements za mtu. Hiyo ingekuja bongo mboni raha.
Hapa bongo hata ukianzisha kampuni manual, siyo digital ya kufuatilia mienendo ya watu kwa kweli utakuwa tajiri. Utapata wateja wengi sana hasa wanawake! Yaani nakupa ela wewe kazi yako kufuatilia baba nanii anaendaga wapi akitoka kazini au week end. Alafu unanipa mchoro mzima naenda kufumania. Aaah Wajasiria mali mpo!
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!
Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
Code:Note: 1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana! 2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo! Warning: Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
Ikifkia huko ni bora ukachanja kiguu kwa njia..................................if he or she is not into you then why look for other confirmatory tests..............................just move on and it is going be a blessing in disguise..................
yeah ni kweli,...
ila ukiwasiliana nao vizuri,kuna source code za hiyo software wata kuuzia na
wewe uta zi-develop na utazitumia popote ulipo!
Its just business,...
kuna negotiations ukifanya nao utafikia conclusion!