Unahitaji utajiri wa fasta? Pitia hapa

Katika hili nakuunga mnoko. Aah sorry nimechapia nakuunga mkono. 🙌🏾
Hela ikiwepo nitafika mpaka kusini mwa Argentina kutafuta nyuchi
 
Kwa hio hela inakuja kivp yani......bila biashara au utaokota burungutu
 
Sawa unaweza kuwa sahihi kwa namna fulani, lakini je hayo ni maneno sahihi ya kusema mbele ya kadamnasi na mtu mwenye ushawishi kama yeye humu JF?
 
Ni kweli Mshana Jr , Matajiri wengi walitusua kwa kufanya jambo la upigaji ,wengine kuuza ngada,wengine pembe za ndovu ,wengine epa,ukwepaji wa kodi ,wengine kuongeza 0000 kwenye manunuzi ya umma ,mafekeche kazini , utapeli etc
 
Mkuu mimi ninachojua ili uwe tajiri, lazima uwe na roho mbaya. Asilimia kubwa ya matajiri ni wana roho mbaya, wanadhulumu watu mishahara/pesa wakati wao wanaingiza mabilioni, wengi ni wezi(wa kalamu), wafitinishaji, watafanya lolote ili wabaki juu nk.

Roho nzuri na utajiri hata haviendani.
 
Daah hata nimekuelewa sasa

Upweke unaniandama Mshana nipe dawa ya kupata mwanamke.
 
Nakubaliana nawe! ila nasisitiza tu kuwa hata kabla ya hayo yote bado Europeans walikuwa tayari wametupiga gap kubwa saaaaaana karibu katika kila idara nzuri, na ndiyo sababu walitutawala.
it's simple, ukiona unamtawala mtu mwingine basi jua kuna vingi vizuri umemzidi.
 
Ama kweli! Mlala hoi mmoja alihangaika kupata mtoto hatimae akapata mtoto wa kiume. Ila baada ya miaka mitatu kama utani mtoto alipaliwa na ubwabwa na kufariki. Mlala hoi sasa ni tajiri! Kuna nini?
Ya Mungu mengi...kuku yake mayai[emoji2827][emoji848][emoji2827][emoji848][emoji2827]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Lilla na fila ni chanda na pete...

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…