Unahitaji utajiri wa fasta? Pitia hapa

Ama kweli! Mlala hoi mmoja alihangaika kupata mtoto hatimae akapata mtoto wa kiume. Ila baada ya miaka mitatu kama utani mtoto alipaliwa na ubwabwa na kufariki. Mlala hoi sasa ni tajiri! Kuna nini?
 
Nipe mkuu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nakupatia mtakatifu huyu muombe huku ukiwa umewasha mshumaa mwekundu huku umeweka keki tamu sana na glasi ya maji pembeni,MT.expedict nisaidie niweze kupata pesa haraka haraka kwa namna yoyote ile iwayo bila ya kudhuru yeyote wala ndg yangu yeyote kwa utukufu wako nataka msaada huu haraka with no harm no body am weak nonsense flesh in need very quickly fast fast rudia huku ukiuangalia mshumaa na ukifanya imaginary of money decending for three day usisahau neno do not harm any body huyu ni mtakatifu lakini ukikosea kipande hicho JAMAA NI MBABE FULANI HUYU
#######
 
Hii ni qnet na mr. Kuku iliyofunikwa kwa blanket la kiimani...
😀😀😀
 
Mshana Jr umenichanganya kidogo.

Mwanzo ulisema ukiwa na pesa, unazidi kuwa na roho mbaya. Ila mwishoni ukasema ili kupata pesa lazima utumie njia haramu.

Sasa ninataka uniambie, kati ya roho mbaya na utajiri ni kipi kinaanza?

Mtu anakuwa na roho mbaya ndiyo anafanikiwa, au mtu anafanikiwa ndiyo anakuwa na roho ngumu na mbaya?

Kumbuka pia mitaani Kuna msemo kwamba "matajiri wana roho mbaya" uchoyo, n.k.

Ili mtu apate Mali, anahitaji kuwa na I roho mbaya, au ili mtu awe na roho mbaya anahitaji pesa?
 
Hapa ndipo wengi tunapofeli na inakatisha tamaa
 
Nikimaliza hiyo keki niiikule?
 
It's totally beyond the pale

Rudi reverse kwenye history.

Reasons for widening gap between Africa and Europe.

Kuna looting, slave trade, piracy, colonization nk yaani manjia haramu tu ndizo zilifanya wazungu wakatupiga gap.

Kuna crusades hizi ni vita vya kidini.

Ukitaka maendeleo lazima ujiongeze kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…