Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu vyote hivyo vinaenda kuwekwa kwenye gari kwa wakati mmoja?
1. Shock up za mbele na nyuma za Benz 202
2. Exhaust ya Benz 202
3. Bumber la mbele Benz 202
4. Taa ya kulia complete 202 Benz
5. Inside mirror Brake light ya ndani Benz 202
 
Mkuu vipi,kioo cha nyuma ubavuni upande wa kulia cha ford explorer 2002,na taa yake ya pembeni mbele kulia(hiyo ya njano-lakini iwe nyeupe sababu bulb yake ni ya njano) zinapatikana kwa bei gani? kwa Arusha napataje?
 
Motor ya stering sensor suzuki swift 2006. Sterling ngumu nikaambiwa nibadilishe kifaa hicho. Nan anayo?
 
Nipe bei ya hivi vyote na gari ni Starlet E4

Wishborn zote=
Shocu up zote mbele na nyuma na coil zake=
Boljoints=
Engine Mounting moja ya kati kati=
Brake shoe na pads zote=

Leta bei.
 
NATAFUTA MLANGO STARLET WA ABIRIA KUSHOTO NYUMA
Kama kichwa cha habari kilivyo ,natafuta mlango wa kushoto wa nyuma haraka sana,
Tafadhali kwa yeyote aliyenao tuwasiliane kwa PM au hata hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…