Unahitaji social media manager?

Unahitaji social media manager?

Joined
Apr 12, 2025
Posts
99
Reaction score
80
Unahitaji social media manager?

  • nitakuwa natengeneza simple poster
  • kuweka posts kwenye account
  • kusimamia akaunti
  • na mengineyo

Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
 
Hiki cheo cha meneja tunakitumia vibaya sana
 
Unahitaji social media manager?

  • nitakuwa natengeneza simple poster
  • kuweka posts kwenye account
  • kusimamia akaunti
  • na mengineyo

Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Unapoweka Jambo jaribu kulielezea kidogo kuwapa mwanga wateja wako, siyo wote wanajua hiyo "social media manager" na ufanyajikazi wake, ila unapoelezea unampa uwanja mpana WA mteja kujua umuhimu WA bidhaa unayotangaza
 
Back
Top Bottom