Unahitaji shamba Bagamoyo?

Unahitaji shamba Bagamoyo?

sasa ww muuzaji weka namba yako ya cmu ili tukutafute

Narudia weka namba yako ya cmu tukutafute
 
MUWE MAKINI mtalizwa sasa hivi hayo maeneo watu walishalipwa fidia

Mbeshere asante kwa Taarifa! Huyu muuzaji analazimisha sana kuuza utafikiri hilo shamba kalibeba kichwani na mzigo umemlemea
 
Taifa Letu la Leo lina habari ya Subash Patel katapeliwa sh milioni 210 baada ya kuuziwa ardhi huko huko Bagamoyo.
 
Mbeshere asante kwa Taarifa! Huyu muuzaji analazimisha sana kuuza utafikiri hilo shamba kalibeba kichwani na mzigo umemlemea
Kwani kila anaeingia humu JF ni mwizi na tapeli,inamaana bagamoyo yote ishalipiwa fidia,hivyo wenyeji wake wahame??si ni vema utumie hekima unapotoa hoja zako????
 
Taifa Letu la Leo lina habari ya Subash Patel katapeliwa sh milioni 210 baada ya kuuziwa ardhi huko huko Bagamoyo.
Umezithibitisha hizo habari kaka?na wamekwambia alomtapeli ndo mie
 
Is'nt this the home of great thinkers???????nilitegemea hata upingaji wa hoja uwe ktk hali hiyo...!!don't u agree friends????
 
Mjema, hilo shamba liko upande wa baharini au Kibaha ukiwa main road?
Ukiwa unatokea Dar kuelekea Bagamoyo,mara baada ya Kiromo Hotel,liko upande wa kushoto.Hope umenielewa Wambandwa.
 
Wakuu eka Saba zishauzwa,bado nyingine kumi,karibuni.NB:TAHADHARI ZOTE ZA KUJIRIDHISHA ZITACHUKULIWA ILI KUONDOA HOFU YA KUTAPELIWA.
 
Back
Top Bottom