Unahitaji penzi la dhati?

Unahitaji penzi la dhati?

2011-04-04381

New Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
2
Reaction score
0
YES!
Kwa msichana anaye hitaji mapenzi ya dhati,upendo wa kweli,na mwenye ndoto za kuwa na mwanaume bora na mwenye huruma,hekima,mcheshi,mkweli,mkalimu,masikini,na mwenye ndoto za kuolewa.basi mimi ndiye changuo lake sahihi.

Call me 0766-614673.
If you are not serious don't try to call!

BY TAJIRI WA MAPENZI MASIKINI WA FEDHA!
 
hmmmm ukiona sound nyingi kimbia mapeemaa...zaman wizi ulikuwa kwenye nguo,ukahamia kwenye vitu, sahizi hadi kwenye mapenzi.....
 
Hahahaha wee jamaa kwa nini ujinadi hivyo wakati huna hela hiyo ni kazi bure!!!
 
Tena umeshajisema ni maskin eeeeeehhee utasubirii mno hapaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom