Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 444
Yaani huyu jamaa sijuwi akili yake imekaaje ila ninachojuwa mimi ni kuwa atachoka tu muda si mrefu. Anaiponda website ya Taifa yenye 1000 pages na website yake yenye page 1. Inaonekana wakati watu wapo digitali yeye bado yupo analogy. Eti ku-code, hakuna asiyejuwa ku-code, tunaangalia muda na ufanisi full stop.
hebu tuoneshe wewe what best you can do