Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

Nini kinakufanya urudi windows 7? Kuna app zinataka utumie windows 7? Tumia compatibility mode itafanya kazi.

Windows 7 sipo available kwa torrents ila zinakosa support kwa sasa

Na ikitokea umeamua kutumia kutumia windows 7 tumia antivirus strong.
Nimekuelewa mkuu, lakini kitu kingine naona inakula sana bundle nadhani kwasababu ya updates kuna mtu Aliniambia windows 7 haina updates
 
Back
Top Bottom