Bei ganiKama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
windows 10 ishapigwa hini na microsoft.Programu moja ni 20,000 Tsh ,kuweka windows 10, 11 Genuine ni 20,000 Tsh
Me naitaji uko wapiUnahitaji Microsoft Office pro 2019 ipo Bei ni 20,000 Tsh
Microsoft office installation yakeMkoa wa dar es salaam, Mbezi, nicheki hii namba 0756704145 whatsapp ipo
Mbezi upande wa stand magar ya wapiNdio
Bro utuambie ukweli kwamba hizo windows siyo genuine ni cracked katika dunia hii hakuna miujiza ya kupata windows genuine kwa elfu ishirini,tuambie ni pirated windows ambazo umezi activateProgramu moja ni 20,000 Tsh ,kuweka windows 10, 11 Genuine ni 20,000 Tsh
Computer yangu ina windows 10 nilipelekea fundi aniwekee window 7 akasema imeshindikana je Ni kweli inashindikana?Programu moja ni 20,000 Tsh ,kuweka windows 10, 11 Genuine ni 20,000 Tsh
Nini kinakufanya urudi windows 7? Kuna app zinataka utumie windows 7? Tumia compatibility mode itafanya kazi.Computer yangu ina windows 10 nilipelekea fundi aniwekee window 7 akasema imeshindikana je Ni kweli inashindikana?