Unahitaji Biti za Gospel? Njoo hapa

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
12,558
2,000
Habari Wakuu!

JF ni mahali ambapo kuna kila aina ya watu wenye shughuli mbalimbali ktk jamii, leo nipo hapa kwa ajili ya wale ambao wana uhitaji wa biti za Gospel, hususani kwa Makanisa ambayo hayajanunua kinanda, biti hizi zitakusaidia saana.

Nina biti kwa ajili ya nyimbo za ..........

1. Kuabudu

2. Kusifu

3. Tenzi

1. Upande wa Biti za Kuabudu

-Biti za kuabudu hususani makanisa ya Kiroho wataweza kunielewa zaidi mahali hapa, mfano wa bits/instruments ambazo mtu unaweza ukatumia kwa ajili ya kuimba nyimbo ni kama ........

A. Yehova
B. Hosana ndiwe Mungu wetu
C. Nani kama wewe (Ukienda Youtube kuna msanii kaimba hii nyimbo inayoitwa nani kama wewe) Ila hii biti ambayo mimi ninayo imetuliq zaidi na ni nzuri zaidi kuabudia.
D. Hakuna Mungu kama wewe
E. Damu ya Yesu
F. Tazama wewe ni Bwana
G. Niguse
H. Na nyinginezo nyingi, hapa nimetolea kama baadhi tu

2. Biti/Instrumentalz/Mapambio kwa ajili ya Sifa

A. Obrigado
B. Moyoni nimempata Yesu
C. Katikati ya Mabwana/Miungu
D. Yu mwema
E. Na nyingineO

3. Tenzi za rohoni

A. Bwana Uliyewaita
B. Bwana Mungu nashangaa
C. Ni Salama rohoni Mwangu
D. Tufani
E. Usinipite
F. Na nyingine chache

NOTE: Biti za kusifu au kuabudu unaweza ukaimbia nyimbo tofauti tofauti zinazoingiliana au kutofautiana kidogo hata 2 au 3 nakuendelea.

Biti hizi sijamuibia mtu yoyote yule, biti zote ninazozitoa ni zile tu ambazo nna haki ya kuzigawa.MADHUMUNI YA KUFANYA HIVI

A. Nimeamua kufanya hivi kutokana na kuwa na uhitaji mkubwa wa waimbaji wanaotaka kujiendeleza ktk uimbaji.

B. Lakini kubwa zaidi ni kwa yale makanisa ambayo bado hayajanunua kinanda.

C. Uchumi, waimbaji wengi na makanisa mengi machanga uchumi wao sio mzuri. Kutengeneza hizi biti kwa moja si chini 15,000 ambayo inakuwa na Quality nzuri kwenye Spika/Music System yako.

........ Mimi Kanisani ni DJ, ni mpiga vyombo na bado hatujanunua kinanda ila muda si mrefu tunakaribia kukinunua pamoja na Magitaa mawili.

....... Nakaribisha maswali mbalimbali kuhusu vyombo vya mziki kama Mixer, Spika, Mics n.k japo mimi sio Expert wa mambo haya, lakini walau kidooogo nnafahamu.

KAMA WEWE NI MHITAJI WA BITI UNAWEZA UKANI_PM. KWANGU HAKUNA PM AMBAYO SIIJIBU, LAZIMA NIKUJIBU.

SAMAHANI INAWEZA IKAWA NI NGUMU SANA KUWEKA NAMBA HAPA ILA KWA WALE WENYE UHITAJI NITAWAPA.

*** KARIBUNI ***
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
12,558
2,000
Ahsante kwa maelezo mazuri swali langu ni kuwa je hizo biti ulitengeneza Wewe au ni za watu wengine
Nadhani nilijibu hili jambo lakini sio vibaya kurudia, Kama mtu ana biti zake kwa ajili ya nyimbo zake, kwanza hawezi kuitoa kwa mtu na pia anapaswa kutambua kuwa ni NYIMBO ZAKE PEKEE NDIO ZINAPASWA KUTUMIKA NA HIZO BITI.

Sasa kwa bahati mbaya au nzuri, Makanisani nyimbo zinazoimbwa za kuabudu na kusifu ni zilezile na kama tenzi ni zilezile, Hakuna mtu mwenye uhalali wa kuimba tenzi peke yake, vilevile hayupo mtu ambae ana uhalali wa kuimba sifa na kuabudu peke yake, labda hiyo nyimbo isiwe common na ameianzisha yeye.

Kwahiyo hizi biti ambazo mimi ninazo, sio kwamba ninazo mimi tu, NO. Ni biti ambazo na kwingine zipo, tena wao walianza kabla yangu mimi.

Mpaka hapo umeshanielewa au bado niendelee?
 
chihe

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
255
500
Mh ama kweli muziki umeingiliwa Siku hz..Leo ndio nasikia kuwa mtunzi wa beat anakuwa mwingine na maneno anakuwa mwingine.mh hatari mziki umeingiliwa na makanjanja.
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
12,558
2,000
Mh ama kweli muziki umeingiliwa Siku hz..Leo ndio nasikia kuwa mtunzi wa beat anakuwa mwingine na maneno anakuwa mwingine.mh hatari mziki umeingiliwa na makanjanja.
Sawa Mkuu, nashkuru.
 
Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,467
2,000
Hata mm huku nilipo ninazo, nilikuwa DJ wa Kanisa...hongera mtoa mada...piga pesa baba...hakuna free service
 
James Tweve

New Member
Jan 8, 2018
1
20
Habari Wakuu!

JF ni mahali ambapo kuna kila aina ya watu wenye shughuli mbalimbali ktk jamii, leo nipo hapa kwa ajili ya wale ambao wana uhitaji wa biti za Gospel, hususani kwa Makanisa ambayo hayajanunua kinanda, biti hizi zitakusaidia saana.

Nina biti kwa ajili ya nyimbo za ..........

1. Kuabudu

2. Kusifu

3. Tenzi

1. Upande wa Biti za Kuabudu

-Biti za kuabudu hususani makanisa ya Kiroho wataweza kunielewa zaidi mahali hapa, mfano wa bits/instruments ambazo mtu unaweza ukatumia kwa ajili ya kuimba nyimbo ni kama ........

A. Yehova
B. Hosana ndiwe Mungu wetu
C. Nani kama wewe (Ukienda Youtube kuna msanii kaimba hii nyimbo inayoitwa nani kama wewe) Ila hii biti ambayo mimi ninayo imetuliq zaidi na ni nzuri zaidi kuabudia.
D. Hakuna Mungu kama wewe
E. Damu ya Yesu
F. Tazama wewe ni Bwana
G. Niguse
H. Na nyinginezo nyingi, hapa nimetolea kama baadhi tu

2. Biti/Instrumentalz/Mapambio kwa ajili ya Sifa

A. Obrigado
B. Moyoni nimempata Yesu
C. Katikati ya Mabwana/Miungu
D. Yu mwema
E. Na nyingineO

3. Tenzi za rohoni

A. Bwana Uliyewaita
B. Bwana Mungu nashangaa
C. Ni Salama rohoni Mwangu
D. Tufani
E. Usinipite
F. Na nyingine chache

NOTE: Biti za kusifu au kuabudu unaweza ukaimbia nyimbo tofauti tofauti zinazoingiliana au kutofautiana kidogo hata 2 au 3 nakuendelea.

Biti hizi sijamuibia mtu yoyote yule, biti zote ninazozitoa ni zile tu ambazo nna haki ya kuzigawa.MADHUMUNI YA KUFANYA HIVI

A. Nimeamua kufanya hivi kutokana na kuwa na uhitaji mkubwa wa waimbaji wanaotaka kujiendeleza ktk uimbaji.

B. Lakini kubwa zaidi ni kwa yale makanisa ambayo bado hayajanunua kinanda.

C. Uchumi, waimbaji wengi na makanisa mengi machanga uchumi wao sio mzuri. Kutengeneza hizi biti kwa moja si chini 15,000 ambayo inakuwa na Quality nzuri kwenye Spika/Music System yako.

........ Mimi Kanisani ni DJ, ni mpiga vyombo na bado hatujanunua kinanda ila muda si mrefu tunakaribia kukinunua pamoja na Magitaa mawili.

....... Nakaribisha maswali mbalimbali kuhusu vyombo vya mziki kama Mixer, Spika, Mics n.k japo mimi sio Expert wa mambo haya, lakini walau kidooogo nnafahamu.

KAMA WEWE NI MHITAJI WA BITI UNAWEZA UKANI_PM. KWANGU HAKUNA PM AMBAYO SIIJIBU, LAZIMA NIKUJIBU.

SAMAHANI INAWEZA IKAWA NI NGUMU SANA KUWEKA NAMBA HAPA ILA KWA WALE WENYE UHITAJI NITAWAPA.

*** KARIBUNI ***
Ndugu YANGU utanisaidiaje? Natafuta beat za kusifu na kuabudu,pamoja na tenzi,tapataje?
 
eford bagira

Member
Mar 27, 2018
6

naitaji beat namba yangu ni 0764654923
 
eford bagira

Member
Mar 27, 2018
6
20
Nadhani nilijibu hili jambo lakini sio vibaya kurudia, Kama mtu ana biti zake kwa ajili ya nyimbo zake, kwanza hawezi kuitoa kwa mtu na pia anapaswa kutambua kuwa ni NYIMBO ZAKE PEKEE NDIO ZINAPASWA KUTUMIKA NA HIZO BITI.

Sasa kwa bahati mbaya au nzuri, Makanisani nyimbo zinazoimbwa za kuabudu na kusifu ni zilezile na kama tenzi ni zilezile, Hakuna mtu mwenye uhalali wa kuimba tenzi peke yake, vilevile hayupo mtu ambae ana uhalali wa kuimba sifa na kuabudu peke yake, labda hiyo nyimbo isiwe common na ameianzisha yeye.

Kwahiyo hizi biti ambazo mimi ninazo, sio kwamba ninazo mimi tu, NO. Ni biti ambazo na kwingine zipo, tena wao walianza kabla yangu mimi.

Mpaka hapo umeshanielewa au bado niendelee?
naweza nikapata ....?
 
cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Mixer gani nzuri?speaker gani nzuri kwa sound ya nje na ndani?bass gani nzuri
 
cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Nataka kununua mziki wa kukodisha kwenye masherehe unanishauri niwe na vifaa gani vizuri vya muziki kwamaaana ya sound .nitashukuru
 
SKY HACKER

Member
May 1, 2018
6
20
tafuta mid
Nataka kununua mziki wa kukodisha kwenye masherehe unanishauri niwe na vifaa gani vizuri vya muziki kwamaaana ya sound .nitashukuru
tafuta mid mbili na base mbili
mic mbili wire less
buster
power mixture
pc
deck flash
apo tuu mziki unaimba ila vingine unjiongeza...kama jeneretaa crossover spika zaidi buster zaid
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom