Unahisi urasimu,urafiki na kupeana uwaziri kwa kujuana utakwisha.

vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
503
85
Katika rasimu ya katiba mpya kuna kipengele cha mawaziri na manaibu mawaziri baada ya kuchaguliwa na Mh Rais wakathibitishwe na bunge,hii yaweza ikaondosha Rais kuwachagua marafiki na watu wake waliokuwa hawawezi uongozi kupungua??maana ktk katiba ya sasa rais akichagua huna uwezo wa kuhoji lolote lile,ht km mtu aliemchagua anajulikana kwa utendaji wake mbovu na ubadhirifu wa mali ya umma.
 
Back
Top Bottom