Ndio mambo yameharibika sasaUtajiri wake wa sasa hivi ni mara tatu ya kabla hajawa rais. Ameweza kupenyeza zabuni kubwa kwenye biashara zake.
Yule ni mzungu lakini ana akili za kama.za viongozi wa kiafrika!!sasa.alitaka kuleta mambo ya kiafrika kwa watu walio starabika!!ndio ameambulia aibu hiyo, ila kama anagekuta watu wenye akili za kiafrika ki ukweli lisingekubali kuachia madaraka ki rahisi rahisi!!na baada ya kukabidhi madaraka ataandamwa na mikasa mingi sana!!kwani hata waliokuwa karibu naye kwa ujinga huo wa juzi wamemkimbia!!ndio tabu ya kuwapa watu madaraka makubwa hivyo, wakiwa wametoka sehemu zisizoeleweka, ki siasa!!ni kama tabu wanayopata watu wa jamuhuri ya porto rico sasa!!!MI TANO TENA!!!,Ndio mambo yameharibika sasa
Lete ushahidiTrump kaibiwa kura.
Uhakika wako upo wapiTrump kaibiwa kura.
...Kaonja asali anataka kuchonga mzinga
Lisu ndio katuangusha kwa kukimbia pambano huku watazamaji wakiwa bado hawajakaa vitini. Ilitakiwa apambane mpk kieleweke kama anavyofanya bob wine wa uganda
Hata mama yake mzazi alisema, japo ilikuwa ni kama utani, ila alihisi kituBi. Hillery aliwahi kuonya lakini;
"Ni Hatari kubwa kumpa madaraka Mtu huyu".