Duuhhhhhhhhhhhhhhh, hivi Mondi alipigia kampeni chama gani vile. Au ndo wanamsanisha tena tayari kwa kukipigia kampeni 2020?Yupo na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Jeshi la Polisi DCP Mohamed Mpinga!
usiseme aliipigia kampeni chama gani.. sema alipewa show na chama gani wakati wa kampeini. alikuwa akilipwa ujira mzuri sana. it was all about business..Duuhhhhhhhhhhhhhhh, hivi Mondi alipigia kampeni chama gani vile. Au ndo wanamsanisha tena tayari kwa kukipigia kampeni 2020?
Aisha mrembo weye!