Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,345
Reaction score
10,822
Je mwanamke anapoolewa.. Anachofuata Ni Mali za mwanaume yaaani Magari, maghorofa na mfanowe?

Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?

Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba.. ukawa tajiri hlafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra sana utakuwa na furaha?

Je furaha ya kweli katika Mapenzi/ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.

Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?

I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.

What do you guys think?

N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
 
Je mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?

Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?

Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?

Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.

Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?

I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.

What do you guys think?

N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
Wee hiyo poverty entera through the door love escapes through the window usiidharau kabisa.....ndio number one cause of marital problems.
 
Haya ni maswali ya muhimu ambayo pande zote mbili wanatakiwa wajiulize

Wana ndoa wengi hawana majibu ya msingi "kwanini wameoana?" hii yote kwasababu ya kufata trend tu kwamba umri fulani ukifika unakua ni halali kuoa/kuolewa
 
Wee hiyo poverty entera through the door love escapes through the window usiidharau kabisa.....ndio number one cause of marital problems.
..... mwanaume Ali aoe kwanza awe na uwezo wakumpa basic needs mwanamke..pili awe anauwezo wa kiuume..unaitwa nguvu za kiuume...tatu awe na Akili timamu..

Ina maana basic needs lazima zipatikane ili ndoa iwe na ustawi.
 
Mie nadhani hasa ni kujilindia heshima ili awe free na yule ampendaye, I mean kuhalalisha mahusiano yake mbele ya Mungu kama yupo strong kwenye imani pia na jamii inayomzunguka(hii ni kwa wote Me&Me), inaeleweka zaidi kama mwanaume na mwanamke wakatoka lodge wakijulikana kama mume na mke kuliko kuonekana hivyo wakiwa hawana kiapo.

Mwanaume atapuyanga hana noma ila mwanamke kwa asili ni kiumbe mwenye aibu akionekana anatoka nyumba ya wageni na mtu anayemuheshimu nafsi yake itasononeka maisha kwa picha atakaoyohisi ameonekana nayo pia hujihisi yuko secure akiwa na mwanaume permanently.

Nina usingizi mzito nimejiandikia tu mbio mbio sijui kama nitaeleweka vizuri.
 
Back
Top Bottom