Unafosi vip kuhamia kwangu wakati mimi sitaki

Lakini kwanini mnaanzisha mahusiano yasiyo na malengo halafu mnakuja kutulilia humu, unachezea hisia za mwenzio ukishaona ameanza kucatch feelings unaanza kumshangaa!

Dunia inaweza kuwa mahala salama kuishi endapo kila mmoja anatakuwa responsible na akifanyacho, ilitakiwa uhakikishe na yeye yupo kwa lengo la kulana tu na si vinginevyo, KARMA.
Yaani nimeshangaa mno eti analalamika
 
Pole ,kaka kweli kuna wakati mwingine huwa tunakula tu kwa ajili ya Tusife ila wenye hoteli wanadhani kuwa wamepata wateja sahihi

.....ukweli ni kuwa baba na mama yako hawawezi kumkubali kwa mitatoo yake hiyo......

Jaribu kutafuta muda mkae chini umwambie ukweli ..unajua ukweli humuweka mtu huru !! Nafsi yake itafunguka kabisa .....Mwambie nakupenda ila nyumbani wazazi hawawezi kukubali kwa sababu 1,2,3 sasa sijui ww unasemaje

Akiendelea kungangania mpe neno mwambie sasa inabidi uende kusali kuoe mama na bab yangu wanakoabudu ili waanze kukuzoea !!

Usionekane mgeni kwao...punguza hasira kabisa ...unajua kulala na mwanamke ni sawa na kuweka Agano la damu ....na Agano lolote kulivunja lina gharama zake ....Mungu akutangulie na akuinue
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom